VIDEO YA UTUPU ILIYOPO MTANDAONI YAMTESA MSANII NYOTA NDOGO



Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.

Soma hapa alichoandika kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK



Naomba hii iwefundisho kwa wasanii wote wakike. Pole sana Nyota Ndogo....Daah ila isiwe mambo ya kutafuta.....Kozi umepoatea sana kwenye GEMU

0 comments: