NAMNA UPWEKE UNAVYOGUSA MAISHA YETU YA KILA SIKU


Kama katika mazingira yako ya nyumbani,mtaani,shuleni,kazini,au popote kuna mtu umenotice yupo hivi jaribu kuongea nae.Sometimes upweke hupelekea mtu kutaka kujiua kulingana na jambo linalomla ndani kwa ndani.Utakuta mtu anatabia ya kukaa ndani tuuu labda ni mpangaji mwenzio yeye akiingia ni ndani hatoki njee anatumia muda mwingi amejifungia mara nyingi kuna tatizo.Hata hapo nyumbani unakuta akirudi yeye ni chumbani tuuu hataki kujichanganya labda.Mwingine anaweza kuwa ni mtu wa furaha na tabasamu usoni lakini anaficha ukweli kuwa yu mpweke kwa sababu mbalimbali zilozojitokeza kwenye maisha yake.Tujaribu kuwagundua mapema na tuongee nao na watufungulie mioyo yao.
*
*Dada dina cares itatembelea nyumba za kulelea wazee katoka siku ya wazee duniani mwezi ujao tunakukaribisha kutuletea chochote kama chakula,mavazi,sabuni na mafuta nasi tutaviwasilisha

0 comments: