JAMANI HIVI VICHEN PATI VYA MTANI!! NI LAANA TU TENA NI HADHARANI NA WATOTO WAKIWEMO


Hili ni tukio katika moja ya Pita pita zangu nilinasa tukio hili huko wilayani Temeke Dar-es-salaam, Vicepati hivi vikiwa vinaendelea Kuharaibu maadili ya watantazani, kwa mara nyingi hufanyika maeneo ya wazi kabisa na watoto
akishuhudia mchezo mchafu unaofanywa na wanawake hawa. Na wengine hudiriki kuvua Nguo kabisa kuonyesha Tupu zao hadharani.... Kama wewe unaishi Masaki amaa nyumba zenye Mageti makali huwezi ukaelewa mambo kama haya yanayoendelea katika maeneo ya Tandika, Tandale, Manzese na maendeo Mengi hapa Da-es-salaam, Tz

0 comments: