WANAFUNZI WAPYA WA UDOM WATINGA CHUONI NA MA TRANKA PAMOJA NA VIROBA VYA MCHELE NA MAHARAGE


Baadhi ya wanafunzi wapya (wageni) ambao ni Diploma walioanza kuiingia wekeend katika chuo  kikuu cha Dodoma.... Safari hii imekuwa tofauti sana na miaka ya nyuma baada ya kuvunja historia miaka ya nyuma... Kuna baadhi wamekuja wakiwa na mwonekano wa tofauti kutokana na uhalisia wa Maisha wanayoishi huko vijijini na maisha ya wanaoisha mjjini, hali hiyo ilitokea baada ya wale wanaojiita wakishua wakiwacheka wale wa vijijini na kuwakejeli kwa kuwapiga picha kwa mwonekano wao,

0 comments: