BREAKING NEWZZZ...MSIBA MZITO BONGO MUVI ...MWIGIZAJI MZEE MANETO AFARIKI DUNIA
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina
SHARE KWA MWENZAKO NAYE APATE HII TAARIFA NA COMMENT AMEN
0 comments: