"JAMANI BABA YANGU MZAZI ANANIOMBA NIMVULIE CHUPI"; EMBU BOFYA UONE BALAA LENYEWE HAPA!!!
"Uwiiiiiiiiiiiiiii...Jamani
mimi niapata shida sana hapa duniani kwa Allah kwa maana ninakutana na
majaribu mwengi sana. Katika majaribu yote ninayokutana nayo hili sasa
ni SOOOO....eti baba yangu mzazi, yaani baba wa kunizaa ananiomba
nimvulie chupi na kumpa tamu yangu!!!!!!! SIJAWAHI ONA!
Jamani
mimi ninaitwa Tina, mkazi wa Dar es salaam.Ninaombeni ushauri wenu kwa
maana ninashindwa kujua nifanyaje angali niliamini kuwa baba yangu ndio
kila kitu kwangu na pia ni mlizi wangu lakini wapiiiiii!
Etiananiomba nimpe tamu yangu kila siku, hasa mama akiwa amesafiri kwenda mkoani kwa shughuli zake za kibiashara.
Ananiahaidi mambo mengi ikiwemo kunipeleka
Ulaya
kusoma na pia kuninunulia gari pamoja na zawadi nyingine yeyote
nipendayo. Kwangu mimi hii ni hatari kabisa kama si gharika kwa maana
ninamuheshimu sana baba yangu- mama ndo usiseme.
Ninaona
sasa ghasia zinazidi kwa maana anaingia mpaka chumbani kwangu huku
akinipigia magoti na kulia kabisa kwamba nimpe tuu, hata mara moja haina
shida.
Mimi
nanaishia tuu kulia, kufadhaika na kusikitika sana kwa sababu maswali
mengi yanagonga bongo langu. Kwa mfano ninajiuliza je, huyu ni baba
mzazi kweli ama ni wa kubambikiwa alafu ukweli siambiwi na pia wakati
mwingine ninahisi kuwa ameenda kwa mganga akapewa hayo masharti ili
apate pesa!
Je, nifanyaje?"
0 comments: