HIZI HAPA PICHA ZA BACKSTAGE YA SERENGETI FIESTA 2014 DAR ILIYOFANYIKA WEEKEND HII
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma 'Diamond' akifanya yake.
Nasibu Abdul Juma 'Diamond' (katikati) akiwa na walinzi wake.
Joh Makini (kushoto) akiwa amepozi na baadhi ya wasanii.
Msanii wa Bongo Fleva, Niki wa Pili katika pozi.
Rachel na akiwa na wacheza shoo wake.
Mtangazaji wa Clouds Tv (katikati) akifanya mahojiano na Nay wa Mitego (wa poli kutoka kushoto) na Diamond Platinumz (kulia).
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (katikati) akimsalimia mtangazaji wa Kipindi cha Mamaland kinachorushwa katika runinga ya Clouds, Ben Kinyaiya.
Wadau wa Tamasha la Serengeti Fiesta wakiongea jambo.
0 comments: