KWA UFUPI HIVI NDIVYO VIPAJI VYA ENG.AYUBU KISWAGA MWANAFUNZI ANAEJITUMA KATIKA KAZI MBALIMBALI,HEBU CLICK HAPA UJIONEE MWENYEWE(USIPITWE)

 Ayubu kiswaga akiwa field mwaka wa tatu shule ya secondary ya
Baobab iliopo bagamoyo akiwa anatengeneza moja ya computer zilizokuwa zimekufa na hatimae akazifufua na kupiga kazi.


 kifaa kiitwacho switch alichokuwa anafanyia mazoezi ayubu kiswaga pamoja na kugundulia maujanja mengine ya networking
 laptop zilizptumika katika moja ya ku-configure router ya airtel ili ikatumike kwenye large building.

 mr ayubu kiswaga akiwa katika pozi hapo mwaka wa pili mda wa likizo.
 mr Ayubu kiswaga akijiandaa kwenda katika ibada ya jioni kwani ni mtu anaemwamini sana mungu maishani mwake na ndie aliemfanikisha hadi ajue vitu vingi tofauti na maarifa ya ziada.
 MR Ayubu kiswaga akiwa Advance level pamoja na wenzake aliosoma nao PCM
 Mr Ayubu kiswaga akiwa katika chumba alichokuwa akiishi kwani anaonekana anajali sana chumba chake hivyo naamin hata oficin ataipenda pia.
 Mr Ayubu kiswaga akiwa studio kurekodi nyimbo kadhaa ya kwaya yake ya informatics.
 Mr Ayubu kiswaga akiwa anafanya kazi pindi yupo likizo nyumbani kwao mbeya ni moja ya fani anayojishughulisha nayo pamoja na useremali aliopatia cheti alivomaliza darasa la saba na kujiunga na Veta kabla hajaenda secondary.
 Ayubu akiwa kijijin dodoma akirekodi video ya album yao ya kwanza ya jinsi tulivopendwa.
 mr Ayubu kiswaga akiwa na mwal wake wa maths hapo Advance level Rungwe high school.
 Mr Ayubu kiswaga alipigwa picha pindi baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ngazi ya uenyekiti hapo Rungwe secondary.
 Ayubu kiswaga akiwa ameweka pozi baada ya kumaliza kazi ya mda mfupi ktk institution iliopa bagamoyo.
ni siku iliokuwa ya furaha Ayubu alipo kuwa anaagwa na wana USCF wenzake HApo UDOM.
Historia fupi ya Ayubu.
kwa sasa kamaliza miaka yake minne ktk chuo cha udom fani ya Computer Engineering.
KAjiajiri mwenyewe katika maeneo ya st.john university akijishughulisha na vifuatavyo:
-stationary fwith full services iliopo kikuyu stendi/geti dogo la st.john
-Anatengeneza computer aina zote.
-Ni mtaalam wa networkung pamoja na Security Camera.
-ni mtaalam wa kudesign digital
-ni mtaalamu wa kutengeneza printer aina zote.
-Anafanya project ya physics digitally itayozinduliwa na mmoja kati ya viongozi hapo mwakani kama mungu atampa kibali.


mpango maalum:Anaitaji kufungua studio hapo Dodoma mjini itayotoa huduma zifuatazo:
-Quality hardcopy and softcopy image.
-video recording
-Small studio for recording audio and video advertisement
-kuwaajiri vijana mbalimbali waliokosa ajira.
kwa yeyote alieguswa ili aweze kumwezesha/kumdhamini/ushauri kijana huyu ambaye anajituma na ni mchapa kazi na anajali kazi zake na watu pia.Unaombwa uwasiliane nae kwa namba zifuatazo

0652-921109/0762154404
au ayubukiswaga@yahoo.com
Hajaajiriwa na yupo free mda wote kufanya kazi anapohitajika na angependa aweze kujiriwa ili awanufaishe na wengine na Taifa kwa ujumla.

0 comments: