Habari mpya zinasema kuwa Meninah amekiri kutongozwa na Diamond Platnumz lakini bado hajamkubalia.
Kwa
mujibu wa gazeti moja la Udaku toleo la jana, sms za Meninah akichati
na rafiki yake akimwambia kuhusu kutongozwa na Diamond zilinaswa na
mwandishi wa gazeti hilo.
0 comments: