WATU OYOO...TAZAMA VIDEO HAPA UONE JINSI DIAMOND NA WEMA SEPETU ALIVYONYONYANA DENDA WAZI WAZI...
Sherehe
hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja
na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo
iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.




Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.

Diamond akionesha ufundi wa kupiga ngoma
![]() |
![]() |
![]() |

Yamoto Band wakiwaburudisha waalikwa 

Gari alilopewa kama zawadi na menejimenti yake

Mama Diamond
0 comments: