BAADA YA KUMPIGA CHINI WEMA, DIAMOND AJIWEKA KWA HUYU DADA BILIONEA NCHINI UGANDA Photo: Where are my TZ people am in your town with #DiamondPlatnumz
Story
ilianza juzi mwanadada Zari alipopost picha wakiwa kwenye ndege yeye na
Diamond,sasa leo zimepatikana picha zingine wote wakiwakwenye pose
tofauti tofaut kama wapendanao wa siku nyingi,haijafahamika ni nini
kinaendelea maana hakuna kati yao aliyesema chochote.,pengine wako
location,ama ni video maana wote
ni wazamziki.Time will tell,Zari anaaminika kuwa ndie msanii wa kike
tajiri zaidi Africa mashariki,ni mfanyabiashara na mwanamziki.
0 comments: