CHECK HAPA PHOTO ZA NICK MINAJ...UNAAMBIWA HIII NIJIBU KWA WANAOPONDA VIDEO YAKE YA ANAKONDA

 
Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye interview na jarida la V mina anasema....
"Kama mwanaume angefanya nilichofanya kwenye Anaconda hakuna ambaye angekosoa, watu wanaacha kuongelea show zinazotukuza ngono kama victoria secret na show zingine zinazoonyesha nguo za ndani ila wananiponda mimi naye fanya hiphop"
 
 

0 comments: