DUH, WEMA SEPETU AAMUA KUWACHANAWATU WANAOMUULIZA ATAZAA LINI,AWAPIGA MKWARA MZITO: wema sepetu

wema sepetu
Wema Sepetu ameamua kuwatolea uvivu baadhi ya watu wanaomtaka azae mtoto. Wema mwenye miaka 25 kwasasa amesema hana mpango wa kuzaa kwa muda huu pengine kwakuwa umri wake bado sio mkubwa ni wa msichana wa kawaida.
Wema amesema kupitia akaunti yake ya Intagram……………… Okay… Lets get things straight here…. See that doggie up there… You all see her….? that is my bebi…. since i don’t have a bebi… Huyo ndo mtoto wangu… Basi sasa nitapopost halafu nisikie kuzaa naku-block fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child i’m happy for you… Na wish u thea best… I don’t… Ndo Mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … I’m done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa...”

0 comments: