KWA WADADA TU..!! JE UTAJUAJE KUWA WEWE NI CHANGUDOA??
Wewe kama hujaolewa halafu unapanua
miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa
minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale
wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa wewe husimami usiku lakini
jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya
tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya
changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu
ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au
tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.
Kwa wale dada zangu ambao bado
hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu masije
kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu
unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe.
Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.
0 comments: