NEYMAR APATA SHAVU LINGINE!
Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior amekula shavu la kuwa kisura wa miwani za polisi, SS15.
Neymar amefuata nyayo za mastaa wengine waliowahi kuwa mabalozi wa
miwani hizo ambao ni pamoja na Bruce Willis, George Clooney, David
Beckham na Antonio Banderas.
Hizi ni picha zake zaidi.
PICHA KALI ZAID ZIPO HAPA
0 comments: