Corazon Kwamboka aka lilythegenie anazidi kuimaintain himaya yake
kwa kuwa na shepu inayoaminika kuwa bora zaidi jijini Nairobi. Hata
wengine waliojaribu kuiga mitindo yake ya kupiga picha na kuweka makalio
feki walianguka vibaya.
Tukiongea makalio feki, Corazon ashajitenga na kundi
#teammakaliofeki ambayo imejaa mastaa kama vile akina Vera Sidika na Aunty Lulu kwa kupiga picha yake ya uchi mnyama sehemu yake ya nyuma.
Katika collection tuliokusanya hapa tumeweza kupata picha 7 za Corazon akiwa amevalia bikini. Amemfikia Kim Kardashian kweli?
Cheki picha zenyewe
PICHA ZAID BOFYA HAPA
0 comments: