UKIJALIWA KUWA MSICHANA MZURI NA MREMBO BASI USIDHANI KAMWE UTATETEMESHA KILA MWANAUME
Ukijaliwa kuwa
Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna
wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako
ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana
futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
Ukipata
mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai
yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni
mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna
mtu anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza
mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,maana
hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.
Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, tunaumia
sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki.
0 comments: