HII KALI YA MWAKA:WANANCHI UGANDA WAWAOMBA WATENGENEZA CONDOM KUONGEZA SAIZI MAANA HAZIWAATOSHI NA NDIOMANA HUWA HAWAZITUMII
Ripota
wa Uganda Bill the African ameripoti kutoka kwenye bunge la nchi hiyo
kwamba Wanaume kutoka kaskazini mwa Uganda wamefikisha maombi kwa
Wabunge wao kuhusu ishu ya mipira ya kiume (Condom)
Hawa Wanaume wanataka Wabunge wao
wawaambie wauzaji wa Condoms Uganda kupeleka saizi kubwa za Condom
kutokana na zilizopo sokoni kutowatosha kwa sababu zina saizi ndogo na
ndio maana hawazitumii.
Tom ambae ni Mbunge wa Moyo pamoja na Wabunge wenzake amesema >>
‘Nimeshuhudia hili kwamba watu wa maeneo hayo wanataka condom kubwa sababu wanauume mkubwa hivyo condom zilizopo ni ndogo na haziwatoshi kwenye uume….‘ Mbunge mwingine akasema ‘baadhi ya vijana wanalalamika kwamba baadhi ya condom wanazopewa ni fupi na haziwatoshi’

Serikali chini ya mashirika yake itabidi
wafanye kazi ya kuongea na makampuni yenye tenda ya kupeleka condom
Uganda ili yalete condom zinazowaenea Wananchi.
Vilevile mmoja wa Wabunge kwenye bunge
hilo la Uganda amewapongeza Wabunge wenzake kwa sababu condom
zinazowekwa kwenye vyoo vya bunge hilo vinavyotumiwa na Wabunge zimekua
zikiisha mapema hivyo kuonyesha kwamba Wabunge hao ni watumiaji wazuri
wa kinga hiyo.
0 comments: