HATIMAYE DIAMOND AFUNGUKA YAKE YA MOYONI...OTOA UTATA ULIOPO KWA MASHABIKI WAKE KUHUSU MENINAH
Hatimaye
Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana
na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah Diamond
alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa.
“Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana,” amesema
msanii huyo. “Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi kuzunguzia mambo ya
rumors, siju magazeti huwa sipendi kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua
kabisa siwezi kubishana na media kwakuwa media ni kubwa, maana najua
utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana
huwa nakaa kimya,” ameongeza “Kusema ukweli hili suala limekuwa
likiniumiza ‘eti sijui kuna vikao vya harusi mie nataka kumuoa Meninah’
Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina
mahisiano Wema. Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati mwingine nakuwa
naelewa ile inakuwa ni trick ya kibiashara. Mtu anajua hata nikimuandika
vipi ‘Diamond sijui kafanya nini watu hawawezi kumchukia! Kwahiyo
wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na mwanamke
wangu halafu namsaliti.”Meninah “Unajua kitendo hicho hatamaye
kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti. Najua hicho
ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi. Kwahiyo wanaamua
kunitengenezea chuki na maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii
wao, sasa wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza kuamharibia Diamond.
Ndioa siku zote nimekuwa kimya tu ila sina mahusiano na Meninah. Mie
nikiwa na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama leo nimeachana
na Wema nasema tu, why nifiche? Mie katika mambo yangu huwa simuogopi
mtu kama ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche??
MSIMAMO WANGU➡1.SITAONGELEA TETESI ZA HAYA MAHUSIANO SBB MAPENZI
HAYAINGILIWI..2.SITAPIGA KURA WALA SITAPROMOTE UPIGAJI KURA KWA DAI MPK
WEMA ATAKAPOFUNGUKA! 3.UKIMKASHFU WEMA SITAKUACHA!!�� From ma bebe @usipojipangantakupanga
0 comments: