WANAUME WANANIKIMBIA BILA SABABU, NAKOSA AMANI..!! SIJUI NAKOSEA WAPI, USHAURI TAFADHALI


http://theclicktz.com/ Nimeshakuwa na mahusiano kadhaa ya kimapenzi na wanaume tofauti lakini wote wamekuwa wakitokomea bila sababu yoyote wakiniacha nikiwa kwenye taharuki bila kujua nimekosa nini. Nashindwa kuelewa jamani nakosea wapi..

0 comments: