Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.
Basi
la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga
limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami
mkoani Pwani.
Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine
kujeruhiwa.
0 comments: