BETHIDEI YA AUNT YAHUDHURIWA NA MASTAA KIBAO
Staa
wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki ya bethidei yake ndani ya
Ukumbi uliyopo kwenye Mgahawa wa Rodizio Masaki jijini Dar es Salaam,
usiku wa kuamkia leo.
Aunt Ezekiel akimlisha keki Wema Sepetu.
Shilole (kulia), akilishwa keki na Aunt Ezekiel.
Msanii wa Filamu Bongo, Jacob Stephan 'JB' akilishwa keki na Aunt Ezekiel.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere akilishwa keki na Aunt.
Msanii wa Filamu Bongo, Wellu Sengo (kulia), akilishwa keki na Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel akimlisha keki Shamsa Ford.
Msanii wa filamu Bongo, Jack Wolper (kulia), akiwa katika pozi na Aunt Ezekiel muda mfupi baada ya kulishana keki.
Mwigizaji
Elizabeth Michael 'Lulu' akilishwa keki na Aunt Ezekiel kwenye sherehe
ya kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Mghahawa wa
Rodizio Masaki jijini Dar es Salaam.
Mwanaharakati Lemtuz akikumbatiana na Aunt Ezekiel mara baada ya kumlisha keki.
Msanii wa filamu ambaye pia ni rafiki kipenzi wa Aunt Ezekiel, Nice Chande (kulia), akilishwa keki hiyo.
Msanii wa filamu Bongo, Vivi akilishwa keki hiyo.
Msanii wa Bongo Fleva Diamond akiwa amekumbatiana na Aunt Ezekiel muda mfupi baada ya kuwasili mahali hapo.
Diamond na Aunt Ezekiel wakijadiliana jambo muda mfupi baada ya kuwasili ukumbini hapo.
Diamond akiangalia moja ya mshikaki kutoka kwa mmoja wa wahudumu wa mgahawa huo.
Jack Wolper akigongeshana glasi kwa mbali na baadhi ya waalikwa.
Wema Sepetu akikumbatiana na watoto wa dada zake Aunt Ezekiel muda mfupi baada ya kuwasili ukumbini humo.
Baadhi ya waalikwa wakiwa mezani hapo.
Wema akimpatia zawadi ya hereni za dhahabu Aunt Ezekiel.
Aunt akimlisha keki rafiki yake.
Msanii wa filamu Bongo, Daudi Kipungani (kulia), akilishwa kipande cha keki.
Wema akimshushia mvua ya fedha Aunt Ezekiel.
'Minoti' aliyomwagiwa Aunt Ezekiel.
Nice Chande (wa kwanza kulia), akimwagia dola Aunt Ezekiel.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)
0 comments: