Waganda Nao Wacharuka Mitandaoni na Kusema Miss wao Mpya ni Mbaya Hakustahili Kushinda
Wakati Sitti Mtemvu akiwekwa kitimoto na
Watanzania kwa kudanganya umri wake, Waganda nao katika mitandao ya
kijamii wamecharuka na kuwakaba koo waandaaji wa Miss Uganda kuwa
mshindi aliyepatikana Leah Kalanguka Miss Uganda 2014 ni mbaya na
hakufaa kushinda taji hilo.
Kwa kumuangalia tu mrembo huyu, ni kweli hakustahili taji hilo?
0 comments: