BOB JUNIOR AFUMWA AKIWA KATIKA POZI LA KIMAHABA NA MPENZI WAKE
Baada
ya story nyingi kuvuma mtandaoni kuhusu penzi kati ya Sabby Angel na
msanii Bob Junior mrembo Sabby ameachia picha yake akiwa na msanii Bobo
Junior za kimahaba,lakini siku ya jumanne mrembo huyo anayejulikana kwa
Sabby Angel ambaye ilikuwa siku yake ya kuzaliwa alipata msg nono kutoka
kwa mpenzi wake Bob Junior na ilisomeka kama hivi
Hizi ni baadhi ya picha zake alivyooumbika
0 comments: