Kolabo ya MwanaFA na Ali Kiba inazidi kuchukua nafasi, ichukue hapa kama ilikupita
MwanaFA
ambae hivi karibuni alitajwa na producer maarufu Hermy B kama Mkali
miongoni mwa wachache bongoflevani wenye uwezo mkubwa wa kuandika pia
mashairi, ameungana na Ali Kiba kuziteka headlines za bongofleva kwa
single yao ambayo
unaweza kuipakua hapa kupitia mkito.com
mkito.com ni
tovuti mpya iliyo chini ya vijana walioamua kuwa serious kuongeza
vipato vya Wasanii wa Tanzania hivyo kila unaposupport kwa kudownload au
kusikiliza hii single ndivyo unaongeza kipato cha wakali hawa.
Au unaweza kuibonyeza hapa kupelekwa moja kwa moja kuipata >>> HAPA
Na ukishaisikiliza usiache kutoa comment yako mtu wangu alafu Ali Kiba na FA watapita hapa jioni kusoma ulichowaandikia.
0 comments: