DADIKA MBILI ZA KUMTAZAMA MREMBO ANAYEFUNIKA KWA UZURI E.AFRIKA HUYU HAPA.


Kwa jina kamili anaitwa Lily Corazon Kwamboka,
mrembo kutoka nchini Kenya. Hauwezi ukamaani
kuwa binti huyu ni mwanasheria aliyehitimu
masomo yake kutoka chuo kikuu cha Nairobi.
Kama ndio mtu unakesi alafu demu ndio wakili
wako basi hesabu ushindi. Umaarafu wake
umetokana na umbo lake la kuvutia na baadhi za
picha alizopiga kutoka studio ya buoart . Hizi ni
baadhi ya picha za corazon :-

0 comments: