SIKU CHACHE BAADA YA KUZOMEWA.. MIKOSI YAANZA AMWAGWA VIBAYA NA WAKENYA TUZO ZA MTV...!!!!

Kama kuna kitu Diamond na wasanii wengine
wamejifunza basi ni kuomba kura kwa mashabiki
baada ya sauti sol kuongezwa kwenye category ya
Best African Act kwenye tuzo hizo na sio tu
kuongezwa kwa kupata kura nyingi bali Sauti sol
ndio waliochukua tuzo hiyo kwa kuwabwaga
Davido(Nigeria), Goldfish (South Africa), Diamond
(Tanzania) na Toofan (Togo).
Wengi watajiuliza inakuaje Sauti Soul waliongezwa
mwishoni washinde tuzo hizi ? ukweli ni kwamba
sauti soul walikua wanaomba kura kila siku
ukilinganisha na wasanii kama Diamond ambae
alianza kuomba kura siku 2 au 3 kabla ya
ufungwaji wa upiaji kura.


0 comments: