DIAMOND PLATINUMZ AWA GUMZO NDANI YA MLIMANI CITY KWENYE TAMASHA LA SIKU YA MSANII

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.
Diamond Platinumz akionyesha manjonjo usiku huu Mlimani City.
Diamond akicheza na mashabiki wake.
Akiendelea kutoa burudani.

0 comments: