EMBU INGIA UONE: JE, NI WANAUME WOTE WANAPENDA MAZIWA MCHONGOMA KAMA HAYA?


Kiukweli kuna matabaka mawili ya wanaume ukilinganisha na hisia zao za kimahaba kwa wanawake na wasichana kwa ujumla. Wengine wanaweza kuwa wanavutiwa sana na maumbile na wengine wanapenda tabia. Sasa tuachane na tabia, moja wapo ya kiungo kinachozua mjadala miongoni mwa akina dada ni namna ya maziwa kuwa kinavutia ama hakivutii ni MAZIWA.

Bila kubisha, asilimia isiyopungua 80 ya wanaume na wavulana wanapenda sana chuchu saa sita, yaani manyonyo yaliyosimama kama michongoma. Sijajua wanafaidi kitu gani kwenye mayonyo hayo ingawa baadhi wanadai wanapenda sana yanavyowatoba toboa kifuani na wengine wanasema wanaenjoyi kuyanyonya kwa maana huwa ni kama wanakula pipi kifua.

Wanaopenda manyonyo makubwa kama mto ni chini ya asilimia 20 ya wamaume. Na madai yao ni kwamba wanawake wenye manyonyo madodo hufanana sana na watoto wadogo. Hata hivyo pia wanadai kuwa wanaenjoyi kuyaegemea kwa maana huwa yanakuwa kama mto wa kulalia.

Ninaomba jibu, wewe unapenda KITU MCHONGOMA ana KITU MTO WA KULALIA? Na kwa nini uyapende hayo?


0 comments: