EXCLUSSIVE!!!!! HII NDIO KUFURU RASMI YA PESA KUTOKA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA NI SHIDAH
Ni miezi kadha sasa tangu ulipozuka uvumi wa Mchungaji Kiongozi na Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kununua Helcopter. Kanisa la hilo limeitambulisha rasmi picha ya helcopter hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook.
Kwa mujibu wa Mch. Gwajima, Helcopter hiyo aina ya Robinson 44 itatumika kuhubiri injili katika mikoa mbalimbali nchini.
Pamoja na Hayo, Mchungaji huyo amesema kuwa kama kila kitu kitakwenda sawa; Helcopter itazinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda. Tayari usajili wa Chopper hiyo umekamilika na kupewa nambari za usajili 5H-OLY. >
0 comments: