DALILI KUU MBILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI
Siku
zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika
tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika
kileleni kuliko
mwanamke
hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi
kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na
kukurupuka
katika
tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya
Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake
suala la
kuchelewa
kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda
ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya
afike
kileleni
mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie
muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika
ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele
cha raha.
ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:
1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni
ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi
napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila
kelele zinazopigwa ni zile za raha
zilizoambatana
na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza
kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta
wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,
2.
Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke
anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika
kileleni pindi raha zinapo
wazidia
na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta
hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi
haja
yao
katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua
ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya
vitu bila kutarajia.
-
Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani kama
ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako itakuwa
kama suprise ni vitu
vya
kawaida katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika
katika sehemu ya kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi
mazuri kabla ya tendo
kwani
siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na msingi na kwenye
mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa
0 comments: