HATARI....POLISI YAKAMATA MABOMU MANNE YA KIVITA HUKO ZANZIBAR
Hata
hivyo kamishna Hamdani Maka amesema kukamtwa kwa mtuhumiwa huyo ambaye
hata hivyo amekataa kumtaja jina na mazingira ya ukamataji wake amesema
hausiani na imani ya kidini na polisi inamshughulikia mtu kisheria
kutokana na kosa lake kwa mujibu wa sheria za nchi na siyo Imani za
kidini.
Wakati
polisi imekataa kutoa taarifa yeyote kuhusu mtuhumiwa huyo jeshi hilo
limesema hakuna kosa lolote la kisheria endapo mtu akipelekwa nje ya
Zanzibar kwa kosa la ugaidi huku akisema bado polisi inaendelea na
upelelezi wa tukio hilo kama ni la Zanzibar au la, ama ni mtandao wa
ugaidi wa nchi nzima.
0 comments: