HUU NDIO MKATABA WA AJABU AMBAO UMEVUNJA REKODI LEO HII KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA



baada ya Mabishano makubwa kutokea kuhusiana na mechi ya leo ya Man u na Chelsea huu ndio ulikuwa mwisho wa mabishano baada ya kuwekea dau  juu ya mechi hiyo,Baaada ya mashabiki wa Man u kutoa mawe na wa Chelsea wakatoa creti ya bia, Utata huo umetokea leo hii Mkoani Dodoma katika chuo kikuu cha Dodoma:


 





0 comments: