HICHI NDIO KILICHOMFANYA T.I KUKERWA NA KUWATUKANA MASHABIKI WAKE...SOMA HAPA KUJUA UNDANI ZAIDI T.I-ndani-ya-Serengeti-Fiesta-Dar
Rapper T.I ameamua kuvunja ukimya
na kutoa matusi kwa mashabiki wake waliokuwa wakimkejeli na kumtukana
kwa uamuzi wake wa kuja Africa
Katika moja ya picha zake kupitia ukurasa wake wa
insta aliyokuwa ameituma akiwa Tanzania, mashabiki wake kutoka marekani
walimshambulia kwa kuchukua uamuzi wa kuja Africa wakati akijua wazi
kuna ugonjwa wa Ebola, na hata kudiriki kusema “ndio maana ugonjwa huo
unawafikia wamarekani.
Baada ya comment za aina hiyo kuongezeka kwa kasi
T.I aliamua kuvunja ukimya na kumkibu mmoja wa mashabiki hao aliedai
kuwa “Ebola ipo huko na bado mnasafiri???ndio maana ugonjwa huo umefika
US
Credit : Dj Fetty Blog
0 comments: