HIVI NDIVYO MNYAMWEZI T.I ALIVYOPOKELEWA BAADA YA KUTUA UWANJA WA NDEGE JIJINI DAR ES SAALAM
Tunajua rapper T.I kutoka Marekani ni mmoja wa wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Fiesta linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na wakali wengine kama Diamond, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Waje, Stamina, Mwana FA, Victoria Kimani, Linah naVanessa Mdee.
0 comments: