Wakikosa attention yako
Wasichana hupenda pale wanapofahamu
kuwa unawasikiliza na unafahamu nini
wao wanahitaji. Kama kutakosekana
mawasiliano mazuri na atagundua hilo
atauona uhusiano huo haumtimilizii haja
zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa.
Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati
penzi analolihitaji atatafuta mwingine
ambaye yupo tayari kumtimizia.
2. Kumuheshimu
Msichana huwa anajitoa sana awapo
katika mahusiano hivyo anategemea
mvulana uheshimu hata kwa chochote
kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue
kuwa umeheshimu kile ambacho
amekufanyia.
3. Usaliti
Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo
sawa katika mahusiano yako hata kama
una uwezo wa kushughulikia lakini wewe
unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na
mahusiano na msichana mwingine
ukidhani ndio unarekebisha. Pale
msichana wako akikukamata unamsaliti
fahamu hawezi kuvumilia naye
atakuacha.
4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi
Msichana hupenda kuona kuwa
wanapendwa wanathaminwa na wapenzi
wao wanawajali sasa wakiona kuwa
hakuna conection ya hisia za kimapenzi
kutoka kwa mvulana wake huona kuwa
hakuna mapenzi ya kweli katika uhusiano
aliopo
5. Hawapendi kusikia kuhusu mapenzi mara
kwa mara wasichana hupenda kutumia
muda mrefu na wapenzi wao bila kusikia
neno la kuwataka wafanye mapenzi kama
ukiwa nao na ukawataka kimapenzi mara
kwa mara watakuwa wanakuavoid hata
utakapokuwa ukiwagusa.
6. Unapo mcontrol sana
msichana humpenda mvulana
atakayemlinda na kujiona yupo sehemu
salama sio kumdhibiti kufanya mambo
yake mengine anapenda uhuru. |
0 comments: