KHA JAMANI: MISS UTALII AELEZEA JINSI MANAIKI SANGA ALIVYOMLAZIMISHA KUMLAA KIBOGA NA KUMHARIBI VIBAYA..!


Kha jamani hivyo ndivyo ukiwa kama mzazi unaweza kuonesha mshangao pindi ukisikia maneno haya yanasemwa na mwanao tena kipenzi. Aliyekuwa mshiriki katika shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa Fathiya Khalfan ameibuka na kutoa tuhuma nzito kwa aliyekuwa mpenzi wake Manaiki Sanga " The Don" Eti kuwa alimlazimisha kumla tendo ambalo kwa sasa limeonekana kushika hatamu kwenye mapenzi ya kileo ambalo limepewa majina lukuki huku wengine wakiita Sauna, Jicho, Kipwinto, mlango wa nyuma, Kiboga na Tigo

0 comments: