KITU KINACHOSADIKIWA KUWA BOMU KIMEGUNDULIKA DAR
Lenard Thomas aliyekuwa anaenda kuwasha moto kwenye takataka zilizokuwa juu ya kitu hicho kinachosadikika kuwa ni bomu.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Leonard Thomas amegundua kitu
kinachosadikiwa kuwa ni bomu maeneo ya Kijitonyama, jijini Dar.
Akizungumza na GPL Lenard alisema: "Nilikuwa naenda kuchoma moto taka ndipo nikaona kitu kama chuma kizito kama bomba ila kikanishangaza kiko kipekee nikiwa bado na shangaa mwenzagu akaja kuniambia kuwa ni bomu ndipo nikawajulisha polisi.

Polisi walifika eneo la tukio na kuweka ulinzi wakati wakisubiri wataalamu wa mabomu wafike. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar, Suleiman Kova amethibitisha kuwa kitu hicho ni bomu!
0 comments: