KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO WA Diamond Platnumz ft Yemi Alade – Ukimwona (Live)..



Pamoja na kwamba ‘Ukimwona’ haikutoka kama ngoma rasmi ya Diamond, bado
kwa wengi ni ngoma kali zaidi kuwahi kuimba na staa huyo. Pengine ndio maana, waandaji wa Coke Studio Africa walichagua Ukimwona utumbuize live akishirikiana na muimbaji wa Nigeria Yemi Alade. Na kwakuwa kipindi hicho kina bendi hatari, wimbo huo umekuwa mzuri zaidi hata ule wa mwanzo. Usikilize au kuudownload hapa.
kwakuwa kipindi hicho kina bendi hatari, wimbo huo umekuwa mzuri zaidi hata ule wa mwanzo. Usikilize au kuudownload hapo chini.

BOFYA HAPA KUPATA WIMBO 

0 comments: