Lemutuz Acharuka 'Sitti Mtemvu Rudisha Taji uokoe Taifa Mimi Sina Shida na Ubunge wa Baba Yako'
Leo Asubuhi Mzee Mzima Lemuz Ameamka na Haya Kuhusu Miss Tanzania, Nanukuu Kutoka Kwenye Instagram yake @Lemutuz_nation
"Good Morning Instagram Nation....I mean cheti cha kuazaliwa umekipata mwezi uliopita infact siku 35 tu zilizopita leo.unaulizwa kwa nini cheti kile HAKIFANANI NA tarehe za kuzaliwa kwenye passport yako....unasema jawabu ni sikujipanga kujibu hayo maswali ya binafsi.....lakini kwenye stage ulijibu mpaka.Kifaransa? I mean to add salt to the injury Baba yako anasema tunaojaribu kuuliza aidha tunataka Ubunge wake au tunatumwa na wanaotaka Ubunge wake?......halafu Uncle Lundemga hajawahi hata mara moja kutangaza mshindi wa Miss Tanzania ilikuwaje siku ile.akapanda na kutangaza yeye? Na kuishia kutuletea Taifa huu mpasuko?.....halafu kwenye ile.press wote mnajibu kwa mahasira mmemkasirkia nani na mmelikoroga wenyewe sasa ni wakati wenu wa kulinywa......yaani sisi.wa Tanzania wote tumekubaliana KUKUCHUKIA Sitti? PLEASE HAYA MMEYATAKA WENYEWE HAKUNA MWENYE CHUKI WALA.WIVU NA WEWE......TAJI ULILOPEWA SIO.LAKO SIMPLY AS THAT KAMA NI LAKO ......huwezi leo.October ukaja na cheti cha kuzaliwa ulichopata just mwezi uliopita na hakifanani na passport...eti wabongo tunatakiwa kujua kuwa.huwa unasafiri sana kwa.hiyo tusishangae kusikia umepoteza cheti cha kuzaliwa hahahahahhaha......hivi siku hizi ukisafiri sana ni lazima upoteze cheti cha kuzaliwa basi Rais wetu atakuwa na vyeti vingi sana vipya vya kuzaliwa U know..... Mnasema uongo ambao.hata haukupimwa kabisa....SITTI THE RIGHT THING TO DO NI RUDISHA TAJI TU LIOKOE TAIFA NA THIS MESS mimi wala.sina shida na ubunge wa baba yako cause ninaishi Ilala U know! GUYS WE HAVE TO KEEP ON PRESSING KUANZIA LEO NINAMTAFUTA WAZIRI ALIYEHUSIKA NA KATIBU MKUU WA CCM MZEE KINANA NITAWAFAHAMISHA KINACHOENDELEA! ASUBUHI NJEMA LOVE U GUYS!" - Le Mutuz
0 comments: