Exclusive soma hapa kuhusu collabo ya Ali Kiba Na Diamond Platnumz
Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia Ali Kiba.
Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.
Akajibu.....
Namnukuu
" kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na
wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa
nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya
nae.
Kiukweli
mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu
kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"
Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa
Waje - Nigeria
Mafikizolo - South Africa
Kcee - Nigeria
Don Jazzy - Nigeria
0 comments: