|
Nuh Mziwanda ameongeza tattoo nyingine kwenye mkono wake,Tattoo hii ni picha ya shilole, hii picha |
tuliyopata,mwanamziki
huyu ambae ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamziki wakike shilole
alionyesha mchoro huo kwenye kipindi kimoja cha tv siku ya ijumaa.
0 comments: