Video:Diamond Platnumz Azidi kuwa Prove Wrong Team Ali Kiba..Ona Shangwe Alilopata Coco Beach Jana

Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.

Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo. 

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.

0 comments: