MAKUBWA HAYA SASA, ADAI ASIFUATILIWE KWA VILE NI YEYE MWENYEWE ALIAMUA KUMVULIA NGUO.
lakini nilijikuta tu sikumoja nafanya hivyo kwakweli siku lazimishwa na mtu nilivua mwenyewe na kwakweli sijutiii maamuzi yangu,
ila imekua shida kwa marafiki zangu wanasema vibaya kuhusu mimi kutembea na mpenzi wangu huyo, kwakweli mi nampenda ndio mana hata sijutii.
Wengine wanadai kuwa haitachukua muda ataniacha lakini yote heri tu. MNIACHE
Wengine wanadai kuwa haitachukua muda ataniacha lakini yote heri tu. MNIACHE
0 comments: