Mrembo akalia watu asiowajua ili aone watafanya nini, akakutana na chizi mwenzie (video)
Huyu mrembo alikuwa anarekodi video akitembea mitaani na kukalia watu asiowafahamu kuona watafanya nini, katika mtindo maafuru wa utani Ulaya na USA, unaoitwa “pranking.” Huyo jamaa
wa mwisho kwenye video sasa.. Kwanza fulana yake ina maaandishi: “tundu lako liko wazi”(your gap is open.) Angalia alichomfanyia mrembo huyo alipomkalia.
0 comments: