MSIBA:Msichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia
Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes, ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia.
Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki jana.
Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki jana.
RIP Batuli. Amefariki jana mazishi ni leo kisutu. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy na kwa nguvu za mungu tulifanikiwa,” ameandika Temba.
0 comments: