MTOTO WA MILLIONI 50 MWANAAFA BAADA YA KUNYAKUA MILIONI 50 AUAMUA KUHAMIA DAR
Mwanaafa anasema kuwa kampuni ya Proin Promotions imemjengea mazingira
mazuri ya kuishi kama nyota hivyo hata kama anapasi mtihani wake
atahamia hapa kwani kazi ya kurekodi filamu ambayo ndio kazi anayoamini
si rahisi kuifanya Mtwara, filamu ya Tmt movie imeanza kurekodiwa na
kinara ni Mwanaafa.
0 comments: