Baada
ya kutokuwa na maelewano mazuri kati ya nuhu mziwanda na mpeni wake
shilole
hivi sasa tetesi zimeibuka upya kwamba wawili hao hawako pamoja
tena , hii imefatia kuzagaa kwa picha ambayo shilole amepiga akiwa na
njemba mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja,
0 comments: