NIMEAMBUKIZWA GONJWA BAYA NA MPENZI WANGU...NAOMBENI USHAURI..!!
Baada
ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya kwenda kwao
vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tu, nimeanza
kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa kuanzia jana mpaka
sasa nakojoa usaha kabisa......!!
Rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital
mpaka dawa za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu?
Rafiki yangu kaniambia Ni Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital
0 comments: