LEO
NDIO KILELE CHA BONANZA HILO LILILOANDALIWA NA NMB TAWI LA UDOMA AMBAPO
ITAKUWA NDIO FAINALI YA MPIRA WA MIGUU NA MIKONO SAMBAMBA YA YOTE HAYO
PIA KUTAKUWA NA BURUDANI KUTOKA KWA WASANII MBALI MBALI AKIWEMO BARNABA
BOY, BONANZA HILO LITAANZA SAA 8 MCHNA NA KUENDELEA NA HAKUNA KIINGILIO |
0 comments: